Msaada wa kisheria

Msaada wa kisheria

Kalevra

Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
6
Reaction score
0
Habar za asubuh ndugu!
Naomba msaada wa kisheria juu ya jambo lililonisibu katika ajira nliokuanayo katika kampuni moja hapa Tanzania!
Nimefanya kazi kwa miez 7 katika kampuni moja na baada ya kumaliza miez 7 kampuni ilisema imebadili muundo wa kazi(business model) na kuwapa wafanyakaz wote option ya kuendelea au kuacha kazi(retrenchment process). Basi wengi wetu tuliacha kazi nakufanya clearance process kama kawaida ya utaratib wa kampuni.
Basi makubaliano yetu na kampuni ilikua kulipwa hela zetu(Terminal benefits) kufikia tar 15/7 ila hayo malipo yalianza kuzungushwa mpaka mnamo tareh 21/7 nikapokea barua kua malipo yangu(Terminal Benefits) zimezuiwa kwa sababu kuna upotevu wa vitu offisin na kwa hyo sitolipwa mpaka uchunguz uishe!
Nlifunga safari na kwenda eneo langu nlilokua nafanyia kazi ili kujua shida na nin, na pia kwenda police kujua hyo kesi na RB ilikua kwa mpelelez yupi.
Kilichotokea nlikuta hapakua na kesi ila RB ilikua ni taarifa tu ilionyesha upotevu wa vitu offisin na haikua inanishutum mie as a Suspect!
Na pia RB hii ilionyesha upotevu umetokea mwezi wa 6 na kipindi ambacho sikuepo kikaz!
Mpaka kufikia leo hii malipo yangu hayajatoka na nimedhalilishwa na kushutumiwa kwa kesi ambayo cjafanya.
Naomba msaada na wenu wa kimawazo na ushaur juu ya hili ili kampuni hii itoe malipo yangu na fidia ya gharama ninazoendelea kuingia juu ya hili!
 
Back
Top Bottom