BALAGASHIA
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 392
- 383
MsingiIdara gani? Elimu msingi au Elimu sekondari?
Huo ni ukiritimba wa huyo afisa elimu, waziri mwenye dhamana ya utumishi alishatoa agizo kutowazuia watumishi kuwafuata wenza wao. Jaribu kumfuata huyo afisa elimu uongee naye, akikujibu mbovu nenda kwa mkurugenzi naye akizingua nenda mamlaka za juu. Wanaboa sana hawa wapuuzi wakiwa kwenye viti vyao vya kuzunguka.Msingi