mlagilamakawao
Senior Member
- Feb 22, 2017
- 189
- 120
Ni matumaini yangu jukwaa hili Lina watu mbalimbali Wenye ubobezi Katika masuala ya nyanja nyingi.
Binafsi Nahitaji wataalam au washeria, hivyo naomba Kwa yeyote anaeweza kutoa Msaada huo nauhitji sana.
NB: awe anapatikana mwanza au iringa
Binafsi Nahitaji wataalam au washeria, hivyo naomba Kwa yeyote anaeweza kutoa Msaada huo nauhitji sana.
NB: awe anapatikana mwanza au iringa