mlagilamakawao Senior Member Joined Feb 22, 2017 Posts 189 Reaction score 120 Nov 28, 2017 #1 Ni matumaini yangu jukwaa hili Lina watu mbalimbali Wenye ubobezi Katika masuala ya nyanja nyingi. Binafsi Nahitaji wataalam au washeria, hivyo naomba Kwa yeyote anaeweza kutoa Msaada huo nauhitji sana. NB: awe anapatikana mwanza au iringa
Ni matumaini yangu jukwaa hili Lina watu mbalimbali Wenye ubobezi Katika masuala ya nyanja nyingi. Binafsi Nahitaji wataalam au washeria, hivyo naomba Kwa yeyote anaeweza kutoa Msaada huo nauhitji sana. NB: awe anapatikana mwanza au iringa
fredymkanza JF-Expert Member Joined Jun 19, 2016 Posts 284 Reaction score 152 Nov 28, 2017 #2 Baba hapa umefika subiri kidogo wadau watakuja