Kalinunue tena kwake (kama atakuwa tayari kuliuza) maana limekuwa la kwake! Usifikiri kama hamjaandikishana na kama hakuna ushahidi wa mtu mwingine basi mauzo si halali! Hiyo kadi ya gari imeendaje kwake na hilo gari limeendaje kwake kama hujampa?heshima yenu wakuu! Naomba ushauri wa kisheria,nilimuuzia jamaa mmoja gari ni siku kama kumi zilizopita,hatukuandikishiana sehemu yoyote,lakini nilimpa kadi ya gari,niliuza nikiwa na lengo la kuagiza gali nyingine,lakini kutokana na bkodi zilivyopanda,nataka nimrudishie hela yake anipe gari yangu,je sheria inasemaje hapo? Hakukukuwa na shaidi yoyote kati yetu! Nawakilisha!
Soma Standing Orders for Public Service, 2009 utayapata hayo yote!Je sheria za ajira kwa watumishi walioajiriwa serekalini kwa watumishi wanaojiendeleza kimasomo wakijilipia ada na mahitaji mengine je sheria inawapa ulinzii gani? na je kuna haki yoyote wanayostahili kupata kutoka kwa muajiri? naomba msaada na maelekezo
heshima yenu wakuu! Naomba ushauri wa kisheria,nilimuuzia jamaa mmoja gari ni siku kama kumi zilizopita,hatukuandikishiana sehemu yoyote,lakini nilimpa kadi ya gari,niliuza nikiwa na lengo la kuagiza gali nyingine,lakini kutokana na bkodi zilivyopanda,nataka nimrudishie hela yake anipe gari yangu,je sheria inasemaje hapo? Hakukukuwa na shaidi yoyote kati yetu! Nawakilisha!
Ngoshwe za siku! Naona tumepoteana kwa muda!