Msaada wa Kisheria

Source07

Senior Member
Joined
Oct 5, 2018
Posts
196
Reaction score
353
Mimi ni entrepreneur nimeanzisha mradi wangu wa ufagaji na uzalishaji wa kuku kwamaana nafuga kuku na kwa wale wanaohotaji vifaranga nawazalishia pia..Ila nimepatwa na changamoto moja nimepata watu ambao wanahitaji wajiunge wawe kama washirika(Partners) ktk huu mradi wangu lakin sujui jinsi yakuandaa mkataba au mikataba ambayo itakua niyakisheria kwamaana yeyote atakaye ukiuka au kuuvunja niwe nina haki zakisheria kumshtaki..Nimelileta kwenu najua humu wapo waliobobwea kwenye uandikaji wa Mikataba najua nitasaidika..Ahsanteni
 
Kwa ushairi wangu wa haraka achana na PARTNERSHIP anzisha biashara kama COMPANY itasaidia kwenye liabilities n itakuwa separate legal entity!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…