Boko halal
Senior Member
- May 14, 2014
- 175
- 124
Mimi siyo mtaalam wa sheria lakini nadhani kuna kitu kinachoitwa mirathi. Mirathi hufunguliwa mtu anapofariki ili kujua idadi ya mali/madeni aliyonayo na ni nani wana/ana haki ya kumrithi. Je tangu huyo bwana afariki walifungua mirathi? Kama jibu ni ndiyo mirathi ilimpa nani haki za kurithi?Kuna Mama mjane amefungua kesi ya madai baraza la ardhi la kata dhidi ya mtoto wa mme wake ambae ni marehemu.
shauri lenyewe lipo hivi, huyu mama aliolewa na huyo mme wake akiwa Mzee sana, wameishi kama miaka 6 mme wake akafariki, sasa ni miaka takribani 16 tangu mme wake afariki, anataka kudai ardhi ya mme wake agawiwe na vijana wa mke mkubwa kama sehemu ya urithi.
Amefungua shauri la madai kwenye baraza la ardhi la kata dhidi ya kijana mkubwa wa mme akitaka apewe sehemu ya ardhi ya mme wake.
Je, shauri hili atashinda ikitegemea kuwa ni muda mrefu umepita?
Msaada zaidi please?
Mirathi haikufunguliwa.Mimi siyo mtaalam wa sheria lakini nadhani kuna kitu kinachoitwa mirathi. Mirathi hufunguliwa mtu anapofariki ili kujua idadi ya mali/madeni aliyonayo na ni nani wana/ana haki ya kumrithi. Je tangu huyo bwana afariki walifungua mirathi? Kama jibu ni ndiyo mirathi ilimpa nani haki za kurithi?
Kama haikufunguliwa basi siwezi kujua zaidi kwani mimi siyo mwanasheria ikizingatiwa hukumu kama hizi hutegemea mambo na vielelezo vingi. Jaribu kui-keep hii thread active watakuja wenye kujua.Mirathi haikufunguliwa.