Msaada wa kisheria

Msaada wa kisheria

Msemaji_

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2016
Posts
602
Reaction score
801
Kuna ndugu nilimkopea pesa akafungwa na kutoka lkn makubaliano ilikuwa pindi anatoka anilipe pesa yangu lkn sijapewa .nilipoenda mahakamn nikajibiwa nimtafute mtuhumiwa nimpeleke mahakaman ili akanipe pesa yangu sasa kazi ya kumuita mtuhumiwa in yangu au mahakama, hii kitu imekaaje wataalamu
 
Hapo mahakama ndio wanatakiwa wakupe summons, umpelekee mtuhumiwa ili aje mahakamani, tena kwa kupitia mjumbe/kiongozi wa s/mtaa ndio ai sign hiyo hati wa wito mbele yao kudhibitisha kuwa ameipata.
 
Back
Top Bottom