unlucky Senior Member Joined Aug 9, 2011 Posts 199 Reaction score 56 Jul 4, 2019 Thread starter #21 Mwanaume ana roho mbaya huyu nimejaribu sana kuongea nae vizuri lakini yuko na jeuri sana mie naamini serekali itanisaidia kwani wngapi wamesaidiwa wtt wadogo bado 12,10,8 wa miaka hiyo
Mwanaume ana roho mbaya huyu nimejaribu sana kuongea nae vizuri lakini yuko na jeuri sana mie naamini serekali itanisaidia kwani wngapi wamesaidiwa wtt wadogo bado 12,10,8 wa miaka hiyo