Msaada wa kisheria

Msaada wa kisheria

salimseif

New Member
Joined
Oct 30, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Wakuu naomba kama kuna mtu anamjua mtu aliyewahi kufanya utafiti baina ya sheria ya ndoa ya Tanzania na sheria ya kiislam kwa lugha ya kiarabu au ya kizungu.

Naombeni msaada kumfikia na kama nimekosea jambo naomba msamaha wenu nimejiunga hili jukwaa leo nimeambiwa na swahiba yangu kama nitapata hitaji langu.
 
Back
Top Bottom