Msaada wa kisheria

Myhope

Senior Member
Joined
Jul 20, 2017
Posts
154
Reaction score
67
Hivi kwenye sheria zetu za kazi hapa Tanzania huwa kuna kosa la "Kusudio la Kuiba?" Kama lipo je, mazingira yake ni kama yapi?
 
Linaitwa attempt to theft mfano simu ilikuwa inachajishwa ukaishika ukakamatwa au umekutwa kwenye nyumba ya mtu mlango upo wazi wewe unataka kuingia
 
Hivyo ni lazima ukamatwe si ndiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…