msaada wa kisheria

engmtolera

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
5,149
Reaction score
1,441
wanasheria
naomba msaada wenu,nimehama wizara kutoka wizara ya elimu kwenda wizara nyingine,nimefanya kazi ktk wizara ya elimu toka 2003 hadi 2009,sikufanikiwa kuhamisha file kutoka wizara ya elimu kwenda wizara nyingine.

nacho kiomba hapa ni jinsi gani naweza kupata ile michango yangu niliyokuwa nachangia kutoka ktk mshahara wangu kwenda ktk mfuko wa pension kwa mda wa miaka 7?

nawasilisha
 
Soma sheria iliyoanzisha mfuko uliokuwa mwazoni mfano NSSF Act huwa zinasema muda na namna ambayo mwanachama anaweza kudai michango yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…