T tallnoma Member Joined Sep 16, 2012 Posts 20 Reaction score 2 Sep 16, 2012 #1 sheria ipi ifuatwe pale MPANGAJI anapositishiwa MKATABA kwa matakwa ya mwenye nyumba
C Cartoons Senior Member Joined Jul 16, 2012 Posts 122 Reaction score 39 Sep 18, 2012 #2 yanafuatwa makubaliano ya kwenye mkataba husika , sheria ya mikataba, na sheria nyingine kulingana na makubaliano ya mpangaji na mpangishaji.
yanafuatwa makubaliano ya kwenye mkataba husika , sheria ya mikataba, na sheria nyingine kulingana na makubaliano ya mpangaji na mpangishaji.