Msaada wa kisheria

tallnoma

Member
Joined
Sep 16, 2012
Posts
20
Reaction score
2
sheria ipi ifuatwe pale MPANGAJI anapositishiwa MKATABA kwa matakwa ya mwenye nyumba
 
yanafuatwa makubaliano ya kwenye mkataba husika , sheria ya mikataba, na sheria nyingine kulingana na makubaliano ya mpangaji na mpangishaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…