Msaada wa kisheria

Msaada wa kisheria

nyangi junior

Member
Joined
May 14, 2013
Posts
21
Reaction score
10
Hivi wakuu katiba ya NGO inatakiwa ifuate sheria ya makampuni au kuna sheria yake? na je kama kuna sheria yake ni ipi?
 
tafuta mwanasheria atakuelekeza kiundani, ila utawalipa consultation fee, na ukitaka wakutengenezee katiba ya NGO yako watakutengenezea haraka sana. if you don't mind, contact myself, pm me.
 
tafuta mwanasheria atakuelekeza kiundani, ila utawalipa consultation fee, na ukitaka wakutengenezee katiba ya NGO yako watakutengenezea haraka sana. if you don't mind, contact myself, pm me.
sawa mkuu nitakutafuta. your contacts please..
 
Back
Top Bottom