Samahani wa dau wa sheria naomba mumsaidie huyu dada alizaa na mwanaume lakini mwanaume akamtelekeza pamoja na mtoto baadae msichana akampelekea mtoto ili amlee kwakuwa alikuwa aleti matumizi leo hii huyu dada anamuitaji mtoto wake angalau mara moja mwanaume ataki afanye nini ili kumpata mtoto wake mtoto anamika miwili tu