Msaada wa kisheria

Msaada wa kisheria

Lyatuu the Great

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
212
Reaction score
85
Kama kuna mtu anayejua kifungu cha sheria kinachohusiana na uhamisho wa mke kufuata mume naomba aniambie.
 
Pole sana Dadayangu,ninaujua uchungu wa familia kutengana,familia kukaa mbali inasababisha vitu ambavyo visiingetokea kama kuwa karibu,eg Usaliti ndani ya ndoa.
 
Back
Top Bottom