Lyatuu the Great JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 212 Reaction score 85 Nov 27, 2013 #1 Kama kuna mtu anayejua kifungu cha sheria kinachohusiana na uhamisho wa mke kufuata mume naomba aniambie.
Kama kuna mtu anayejua kifungu cha sheria kinachohusiana na uhamisho wa mke kufuata mume naomba aniambie.
Kidasa JF-Expert Member Joined Aug 1, 2013 Posts 309 Reaction score 108 Nov 27, 2013 #2 Pole sana Dadayangu,ninaujua uchungu wa familia kutengana,familia kukaa mbali inasababisha vitu ambavyo visiingetokea kama kuwa karibu,eg Usaliti ndani ya ndoa.
Pole sana Dadayangu,ninaujua uchungu wa familia kutengana,familia kukaa mbali inasababisha vitu ambavyo visiingetokea kama kuwa karibu,eg Usaliti ndani ya ndoa.