Msaada wa kisheria

Msaada wa kisheria

fundo G

New Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Ndugu yangu ni mtumishi baada ya kuhamishwa kituo cha kazi akapewa barua ya kutuhumiwa kuchukua pesa kituo alichotoka. Kabla hajakubali au kukataa akasimamishiwa mshahara wake.

Je, afanyeje na sheria inaelekeza nini juu ya tuhuma hizo?
 
Back
Top Bottom