F fundo G New Member Joined Oct 5, 2013 Posts 4 Reaction score 0 Jun 9, 2014 #1 Ndugu yangu ni mtumishi baada ya kuhamishwa kituo cha kazi akapewa barua ya kutuhumiwa kuchukua pesa kituo alichotoka. Kabla hajakubali au kukataa akasimamishiwa mshahara wake. Je, afanyeje na sheria inaelekeza nini juu ya tuhuma hizo?
Ndugu yangu ni mtumishi baada ya kuhamishwa kituo cha kazi akapewa barua ya kutuhumiwa kuchukua pesa kituo alichotoka. Kabla hajakubali au kukataa akasimamishiwa mshahara wake. Je, afanyeje na sheria inaelekeza nini juu ya tuhuma hizo?