Msaada wa kisheria

Msaada wa kisheria

Proffesor

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2014
Posts
2,164
Reaction score
2,968
Nataka kwenda mahakamani kupinga hili bunge la katiba lihairishwe mpk uchaguzi wa mwakani uishe.. msaada please wa KISHERIA. . Msaidie Proffesor. .
 
Umesema kweli hili bunge LA Maccm halioni hata AIBU CCM inajifanya imetumwa kuandaa katiba oneni aibu jamani
 
Umesema kweli hili bunge LA Maccm halioni hata AIBU CCM inajifanya imetumwa kuandaa katiba oneni aibu jamani

Mkuuuuu nataka nifungue kesi kupinga hili bunge la katiba linaloendelea .. nahitaj msaada wa KISHERIA kidogo tu ..
 
Back
Top Bottom