Msaada wa kisheria

Msaada wa kisheria

Kram Billz

Member
Joined
Dec 1, 2012
Posts
75
Reaction score
60
Habari zenu, natumaini mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku. Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu any legal requirements zinazotakiwa kufuatwa na mtu ambaye anataka kufungua biashara ya kuuza french fries katika eneo la Sinza Makaburini.
Asanteni
 
Kwanza lazima uende Manispaa ulipiwe upewe kibali na baada ya hapo unaenda t.r.a kulipia leseni ya biashara baada ya hapo patafanyiwa ukaguzi hilo eneo utakalo kwa biashara na likikidhi viwango utapewa go ahead..! May be kama kuna requirements zingne but nafahama hasa hasa hizo
 
Habari zenu, natumaini mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku. Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu any legal requirements zinazotakiwa kufuatwa na mtu ambaye anataka kufungua biashara ya kuuza french fries katika eneo la Sinza Makaburini.
Asanteni
mie pia nasubiria majibu
 
Back
Top Bottom