"Msaada wa kisheria"

"Msaada wa kisheria"

Nolren

Member
Joined
Sep 7, 2015
Posts
33
Reaction score
0
Naitwa Nolren J.
Naomba msaada wa kisheria. 2011 nilimaliza kidato cha NNE. Nikipata alama za kufeli mitihani za chini. Ambazo zingenipa fulsa ya kuendelea na masomo kwa namna tofauti. Kwakuwa familia yetu haikuwa na uwezo wa kunipeleka chuo cho chote ndugu mmoja wa ukoo akadai nikae katka ofisi zake za biashara nisimamie mali zake mara baada ya mwaka mmoja anipeleke chuo nitakachokuwa nimependa.

Makubaliano yetu hayakuwa ya maandishi coz tuliaminiana sana.
Sasa Mwaka ulipo timia. Alitoa sababu ya kushindwa kuniwezesha mimi kwenda chuo. Akaniomba nikae mwaka mwingine tena.
Sikuona Tabu nikakaa kusubili ilehali nafanya kazi zake bila malipo nikitaraji kupelekwa chuo na mwanandugu huyo.

Mwaka wa pili ukaisha nikadai kupelekwa chuo lakini majibu yalikuwa tofauti.

Ndg alisema sababu zilizokuwa wazi kuwa wototo wake wametumia fedha nyingi kwa kuwepo mashuleni kwao hivyo kwa muda ule hawezi nami kunipeleka chuo Kwa wakati.

Akanisihi kuwa *Katika ofisi niliokuwa nikifanya kazi mimi kulikuwa na deni la ki-Bank ambalo Ofisi ile ilikuwa ikidaiwa.
Sasa nifanye kazi kwa muda kidogo lilipwe lile deni kisha NIANDIKISHWE HISA KATIKA OFISI ILE* Binafsi matumaini ya mimi kuwepo katika ofisi ile yalipotea lakini kwa kauli ile ya kuandikishwa hisa ilinijenga upya ki mtizamo. Nikijua kuwa endapo itakuwa hulivyo nita pata fedha ya kujisomesha ikiwa yeye alishindwa japo uwezo alikuwa nao licha ya kutoa vijisababu na visingizio vingi kuwa ameshindwa.

Ndipo nilipo kubali tena kuendelea kuwepo katika ofisi ile ikiwa yeye alipendelea kukaa katika ofisi ya pili ,Katika ofisi yangu alikuwa akikaa kwa muda kidogo kama nusu saa au. Robo saa na kuondoka. Mara nyingi alikuwa akihitaji fedha nampa nikiwa naendesha ofisi kwa imani kwamba nasaidia kulipa likie deni ili niandwikishwe hisa. Ila haikutosha mimi kuoa fedha kiofisi sasa Akawa anakuja anabeba baadhi ya vyombo vya kutendea kazi hapo ofisin kitu kilicho fanya ofisi ile niliokuwa nikitumika mimi kupungua thamani ya bidhaa na ki-fedha.

Ndipo nilipo tambua NJAMA yake ya kunitumbukiza katika mtego wa kuifilisi ofisi machoni pa Ndugu wengine.
Nikaadhimisha moyoni mwangu kuondoka. Nikaondoka bila ya kuaga kwa hasira ya kupoteza muda wa 2011 - 2014 (3)miaka uliyo kamilika. Bila ya malipo yoyote Kwa kisingizio ni ndugu atanisomesha walakini niliambulia patupu.

Baada ya kutoka nika kaa miazi 3 bila mawasiliano nao ndg zangu na familia yangu.

Nafsi Ilipo pumua nikaweka laini ya simu nikawapigia wote familia yangu pamoja na ndugu zangu akiwemo huyo mwajiri wangu wa bila mkataba .

Nikawajuza kuwa nipo Dar es salaam na maisha yangu nayaendesha kwa vibarua

Sasa Nafsi yangu inanishuhudia kuwa Naweza kufatilia angalau cho chote (malipo) kwa ndg huyo kisheria ili niweze kujiridhisha na maisha yangu yakawa tofauti na ya sasa.

NAOMBENI MSAADA WA KISHERIA KAMA NAWEZA. KWA SHERIA ZIPI ZITAKAZO NI TETEA. By Nolren.
 
NAOMBENI MSAADA WA KISHERIA KAMA NAWEZA. KWA SHERIA ZIPI ZITAKAZO NI TETEA. By Nolren.[/QUOTE

]

Sheria huweza mtetea mtu kwa ushahidi tu, usije poteza Muda kwa mara nyngine, komaa na maisha
 
Makubaliano ni ya aina mbili ya kimaandishi na mdomo pia. Bado una uwezo wa kudai haki yako wala usidanganywe, haki yako utaipata tu. Hakuna sheria inayolazimisha mkataba uwe wa kimaandishi tu
 
Japo mikataba ya aina 2 yote inakubaliwa na sheria ila sheria inataka mkataba ili uwe enforceable mahakamani must be in writting otherwise its hard to prove.
 
Ikumbukwe kuwa makubaliano yoyote yapo ya aina mbili yaani formal (kimaandishi) na informal (kwa mdomo/gentleman agreement) na yote ya yanakubalika tu. Hv kwa mfano huyu dada ingethibitika amemuibia huyo bosi wake je angeweza kushtakiwa?, jawabu ni ndiyo thus law have to exercise justice to all. Hata ikitokea tumekubaliana kwa mazungumzo ya simu tu, hiyo tayari ni verbal agreement na kila upande lazima utimize masharti. Nasisitiza tena dada fuatilia haki yako
 
Tanx Guys.
Na ili niweze kujua ni kiasi gani namdai.
Natakiwa kujua kiasi cha pato la mtu wa hali ya kati kuweka akiba ni Tsh ngapi?

Sasa mara baada ya kubaini hicho kiasi ni zidishe mara ( a )365×3
 
Back
Top Bottom