Msaada wa kitaalam

Msaada wa kitaalam

Nagwa

New Member
Joined
Jul 7, 2017
Posts
2
Reaction score
0
Mama mwenye maambukiz ya Ukimwi, kukamua maziwa na kuyachemsha kumpatia mtoto wake kunaweza kusiwe na madhala kwa mtoto? Mtoto anaumri wa miez mitatu ameanzishiwa Maziwa ya ng'ombe. Nijuzen tafadhali

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Salamu
Kupunguza maambukizi Kutoka Kwa mama kwenda Kwa Mtoto wakati wa unyonyeshaji tips
Baada ya tafiti kufanyika imeonekana kumnyonyesha Mtoto Maziwa ya mama peke yake kunapunguza uwezekano wa maambukizi Kwa Mtoto
Faida za Maziwa ya mama kulingana na mbadala
Maziwa ya mama ni natural, yana virutubisho vyote protein ambayo inaharibika Kwa kuchemsha , yana mafuta Maji ya kutosha kinga dhidi ya magonjwa na ni masafi joto halisia
Ukikamua Maziwa kwanza unaongeza chance ya kuyachafua contamination
Hii itapelekea Mtoto kuharisha na kuharibu mfumo wa Chakula vidonda ambayo itaongea chance ya kumwambukiza
Expressed breast milk pale inaposhindikana kumnyonyeaha moja Kwa moja Basi jitahidi usafi na yasichemshwe Bali unayapasha joto kidogo KIVIPI
Unayaweka kwenye chupa yake safi then unayadumbukiza Kwa Maji ya moto yapate joto kidogo maana utakuwa unayatunza kwenye fridge
ZINGATIA USAFI

Dr
 
Sawa swali ulisema maziwa ya mama Pekee apa inaonekana uyu mama hana maziwa ya kutosha ikabid amwanzie mbadala kwhy Dr kwa kupasha hayana madhala kwake nikimaanisha hayana virusi?

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Sawa swali ulisema maziwa ya mama Pekee apa inaonekana uyu mama hana maziwa ya kutosha ikabid amwanzie mbadala kwhy Dr kwa kupasha hayana madhala kwake nikimaanisha hayana virusi?

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Nadhani kama kaanzishiwa maziwa mbadala mama aache kumnyonyesha asije juta baadae bure.

halafu cjawai sikia maziwa ya mama yanachemshwa ninachojua unakamua unahifadhi ukitaka kumpa na ni ya baridi unachukua maji ya moto unadumbukiza maziwa yakiwa kwenye kikombe au chuchu so yanapata joto.

sio doctor so sina utaalam ila huo ndyo ushauri wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom