Salamu
Kupunguza maambukizi Kutoka Kwa mama kwenda Kwa Mtoto wakati wa unyonyeshaji tips
Baada ya tafiti kufanyika imeonekana kumnyonyesha Mtoto Maziwa ya mama peke yake kunapunguza uwezekano wa maambukizi Kwa Mtoto
Faida za Maziwa ya mama kulingana na mbadala
Maziwa ya mama ni natural, yana virutubisho vyote protein ambayo inaharibika Kwa kuchemsha , yana mafuta Maji ya kutosha kinga dhidi ya magonjwa na ni masafi joto halisia
Ukikamua Maziwa kwanza unaongeza chance ya kuyachafua contamination
Hii itapelekea Mtoto kuharisha na kuharibu mfumo wa Chakula vidonda ambayo itaongea chance ya kumwambukiza
Expressed breast milk pale inaposhindikana kumnyonyeaha moja Kwa moja Basi jitahidi usafi na yasichemshwe Bali unayapasha joto kidogo KIVIPI
Unayaweka kwenye chupa yake safi then unayadumbukiza Kwa Maji ya moto yapate joto kidogo maana utakuwa unayatunza kwenye fridge
ZINGATIA USAFI
Dr