Msaada wa kitaalam

Msaada wa kitaalam

jacksonyy

Senior Member
Joined
Nov 12, 2015
Posts
116
Reaction score
180
Nina jamaa yangu mmoja anajali usafi Sana Ila anasumbulia na kifua lakin sasa inzi wanamfuatafuata but jamaa anajipenda Sana na Kila siku hakosi perfume kwenye nguo zake je hizi Ni dalili za ugonjwa gani na unasababishwa na nn?

Msaada tafadhari.
 
Back
Top Bottom