jacksonyy Senior Member Joined Nov 12, 2015 Posts 116 Reaction score 180 Dec 17, 2015 #1 Nina jamaa yangu mmoja anajali usafi Sana Ila anasumbulia na kifua lakin sasa inzi wanamfuatafuata but jamaa anajipenda Sana na Kila siku hakosi perfume kwenye nguo zake je hizi Ni dalili za ugonjwa gani na unasababishwa na nn? Msaada tafadhari.
Nina jamaa yangu mmoja anajali usafi Sana Ila anasumbulia na kifua lakin sasa inzi wanamfuatafuata but jamaa anajipenda Sana na Kila siku hakosi perfume kwenye nguo zake je hizi Ni dalili za ugonjwa gani na unasababishwa na nn? Msaada tafadhari.