Msaada wa kitabibu

Vikao vya Harusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
516
Reaction score
144
Natanguliza salaam! Ninapenda kuuliza, inagharimu kiasi gani cha pesa kutengeneza test tube baby,kwa wazazi ambao hawawezi kupata mtoto kwa njia ya kawaida!

Jioni kareem!
 
Natanguliza
salaam! Ninapenda kuuliza, inagharimu kiasi gani cha pesa kutengeneza
test tube baby,kwa wazazi ambao hawawezi kupata mtoto kwa njia ya
kawaida!

Jioni kareem!

Hii kitu peleka JF doctor utasaidiwa mapema
 
aisee mkuu cfahamu ila nenda kaulize hospital kubwa unaweza kupata ufumbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…