Msaada wa kitabibu

Msaada wa kitabibu

Joined
Mar 31, 2015
Posts
5
Reaction score
2
Naomba msaada nina mtoto wa miezi mitatu na wiki moja huwa ana tokwa na jasho miguuni na mikononi hata wakati wa baridi ....Naomba kujua kwa wale wataalamu wa magonjwa ya watoto tatizo kuwa ni nn
 
Back
Top Bottom