Ronald.M.LordMakeen Member Joined Mar 31, 2015 Posts 5 Reaction score 2 Apr 9, 2015 #1 Naomba msaada nina mtoto wa miezi mitatu na wiki moja huwa ana tokwa na jasho miguuni na mikononi hata wakati wa baridi ....Naomba kujua kwa wale wataalamu wa magonjwa ya watoto tatizo kuwa ni nn
Naomba msaada nina mtoto wa miezi mitatu na wiki moja huwa ana tokwa na jasho miguuni na mikononi hata wakati wa baridi ....Naomba kujua kwa wale wataalamu wa magonjwa ya watoto tatizo kuwa ni nn