msaada wa kitabibu

paup

Senior Member
Joined
Aug 24, 2014
Posts
102
Reaction score
58
habari waungwana

nataka kuconcieve,mzunguko wangu ni wa 28 to 29 days,nimeanza mp tar 22 mwezi wa 5 ambayo normal ni 4 days

sasa basi mwenye kujua anijuze ni duu tarehe ngapi ili ninase?
asanteni.
 
duu kati ya tarehe 3 mwezi wa 6 mpaka tarehe 10 mwezi wa 6,,

. . . . . . . . . . . . . . .
tangu unapoanza mzunguko,hesabu siku 13,siku ya 14 hapo yai linakuwa limetoka hivyo hicho ni kipindi kizuri kwa kupata mimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…