navigator msomi
Senior Member
- May 8, 2018
- 188
- 224
Hii hali ilikua inanitokea kipind napoku nasoma sasa nilkua najikuta tu naijingata mpaka damu zinatoka,nilkua najarib kuacha lakin nashindwaPole sana kaka/dada...
Ngoja wataalam waje waokoe jahazi. Wakati unatafuna lips zako ulikuwa husikii maumivu? Ulikuwa hujijui kama unazitafuna au ulikuwa unazitafuna ukiwa ndotoni.
Nataka nipande mlimani kukufanyia maombi
Hata Kuku huwa anakula yai lake,si kwa kupenda bali ni kwa sababu ana upungufu wa madini ya calcium mwilini mwake hivyo hula yai kwa lengo la kupata madini yao. Kwa upande wa binadamu sijajua hili suala kama linahusiana na huu mfano wa kuku, kama linashabihiana basi utakuwa na upungufu wa protein (ulaji wa nyama za lips) au chumvi chumvi (ile ladha ya damu ). Jaribu kula vyakula vya protein kwa wingi uone hali itakuajeHii hali ilikua inanitokea kipind napoku nasoma sasa nilkua najikuta tu naijingata mpaka damu zinatoka,nilkua najarib kuacha lakin nashindwa