Msaada wa Kituo Cha Usaili Cha (Ajira portal)Kwa Dsm

lete rimoti

Senior Member
Joined
Aug 24, 2021
Posts
159
Reaction score
202
Wakuu naomba mnijuze
Hawa PSRS kituo Chao Cha Usaili Kwa Daresalaam ni kipi ?
Kipo wapi ?
 
angalia kwenye account yako ya ajira portal kwenye my application wataweka tu kituo utakachofanyia yaani VENUE na uwa wanaweka siku 3 jkabla ya usahili,cha muhimu ujue katambua kanda yako itakusaidia kwenda mkoa husika mapema
 
Naona wamewawekea mikoa tu, na interview ni tar 23,
Labda watawapa venue kesho hivi
Ingia public service recruitment secretary utakuta matangazo ya usaili angali la tarehe 23 utakuta wameweka kada ,tarehe na mahali pakufanyia usaili!
 
Ingia public service recruitment secretary utakuta matangazo ya usaili angali la tarehe 23 utakuta wameweka kada ,tarehe na mahali pakufanyia usaili!
Nimeziona mkuu
Bila shaka mlengwa ashapata jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…