Msaada wa kiuchumi

mkali kwanza

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
1,301
Reaction score
1,181
Habari zenu wana JF natumaini wote humu nfdani ni wazima. Leo nimeona nijitokeze niwaombe msaada wa hali na mali. Mimi nina uhitaji wa kukopeshwa kiasi cha shilingi 1.1milioni kwa riba tutakayokubaliana. Kama kuna mtu aliyeko humu anayeweza kunisaidia anaweza kuni PM. Asanteni na kazi njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…