Engine kuna gia ina ng'anng'ania au kwenye gia box mfumo wa cluch hakiachii vizuri.tafuta fundi akague gari lako kabla matatizo hayajawa makubwa
Fanya service! Engine oil na gear box oil! Baada ya hapo mengine yatafuatia!
Tatizo linaanzia hapa kiufupi au kwa msaada wa ushauri unatakiwa kubadilisha atf yako angalau kila baada ya km 20,000 kama gari inatembea in severe conditions na kubadili kila baada ya km 60,000 kama gari inatembea in normal condition na hizo km uchange kama tu umeweka atf specific kwa ajili ya gari hiyo sio uende huko kwa mafundi wakuwekee international atf mbovu hazina viwango vyovyote uisukume ndiga hadi izingue halafu uje huku uanze kusema nilisema ubadilishe kila baada ya mda fulani hiyo no na verosa hiyo atf ni 100,000- 90,000 kulingana na ulipo so jipangeHapana sina mtindo huo kbisa isipokuwa sijachange gearbox oil muda mrefu kdgo sasa sijajua inaweza kuwa ni tatzo Gentlemen_,
Sent using Jamii Forums mobile app