Safisha nyaya za kuchomeka kwa kutumia still waya au kitu kingine kinachofaa. Jaribu kubonyeza au kuzungusha buttons mara nyingi ili carbon iliyojiunda iondoke.Habari wakuu,Nina home theatre ya sony spika 5 nimenunua muda mrefu kidogo tangu 2013 na ilisimama Kwa matumizi Toka 2016 kutokana na changamoto eneo nililokuwa nakaa kukosa umeme
Nimekuja kuiwasha imewaka vzr changamoto spika za nyuma surround pamoja na centre haifanyi kazi na hata niikomand batani ya surround mode haifanyi kazi ili ije pro-logic 11 na kuinjoy music je tatizo laweza kuwa Nini Kwa wenye nazo au nipitie wapi ili irudi kawaida
NI mpya? Km ndiyo kuna setting tu hujazipatua; ishawahinkunikumba mimi but alikua fundi wa sehemu niliyonunulia akaset na kufanya kaziNimesafisha mkuu Bado ipo kimy
Mkuu miaka kumi Unaishi enéo ambalo halina Umeme? Hata Sola??Habari wakuu,Nina home theatre ya sony spika 5 nimenunua muda mrefu kidogo tangu 2013 na ilisimama Kwa matumizi Toka 2016 kutokana na changamoto eneo nililokuwa nakaa kukosa umeme
Nimekuja kuiwasha imewaka vzr changamoto spika za nyuma surround pamoja na centre haifanyi kazi na hata niikomand batani ya surround mode haifanyi kazi ili ije pro-logic 11 na kuinjoy music je tatizo laweza kuwa Nini Kwa wenye nazo au nipitie wapi ili irudi kawaida
Nimesafisha mkuu Bado ipo kimya
Miaka 12 anayo tu mwamba mtunzaji kweli kweliItupe, kanuni za depression inabidi Sony wakudai ukiendelea kuitumia