Gari yangu Toyota mark ii gx100,engine type 1g-fe vvti.gari nikiwasha asubuhi inachelewa kuwaka na kama ikiwaka basi mpaka niiache idle kama dakika 5 ndiyo niweze kutembea vinginevyo nikikanyaga mafuta ina stall au inazima.kiufupi gari nisipowasha muda mrefu inachelewa kuwaka na inawaka les misfire.tatizo linaweza kuwa nini nisaidieni mawazo.
Timing seting Iko nyuma na inasababishwa na kuisha kwa timing belt. Badilisha timingbeltGari yangu Toyota mark ii gx100,engine type 1g-fe vvti.gari nikiwasha asubuhi inachelewa kuwaka na kama ikiwaka basi mpaka niiache idle kama dakika 5 ndiyo niweze kutembea vinginevyo nikikanyaga mafuta ina stall au inazima.kiufupi gari nisipowasha muda mrefu inachelewa kuwaka na inawaka les misfire.tatizo linaweza kuwa nini nisaidieni mawazo.
Kabla kuanza tatizo nilifanya service ya kawaida ya oil na filter baada ya hapo sikutembea hata km500 ndo ikaanza tatizo,nimebadilsha plug,nimesafisha nozzles,nimebadili petrol filter still tatizo lipo pale pale.kuna mdau hapa jukwaani kaniambia timing setting ipo nyuma kutokana na kuisha timing belt.je inawezekana?Mkuu mara ya mwisho ulifanya service kubwa lini... na ilikua service ya nini na nini?
Umejuaje boss!!?!!Timing seting Iko nyuma na inasababishwa na kuisha kwa timing belt. Badilisha timingbelt
Vipuri ulivyotumia ni genuine NA ndizo zaifaa hiyo gari? Mfano, plugs uliweka za iridium tip? Pia faatia mfumo wa mafuta hasaa filter!Kabla kuanza tatizo nilifanya service ya kawaida ya oil na filter baada ya hapo sikutembea hata km500 ndo ikaanza tatizo,nimebadilsha plug,nimesafisha nozzles,nimebadili petrol filter still tatizo lipo pale pale.kuna mdau hapa jukwaani kaniambia timing setting ipo nyuma kutokana na kuisha timing belt.je inawezekana?