Izo ni miss chek plag myb zimeishaNina toyota brevis, vvti engine hivi karibuni,nikiwa nakanyaga mafuta niongeze speed ikakata mafuta na kuzimika ghafla nikaipaki pembeni, nikaiwasha ikawaka, ikatembea vzr tatizo unakuja pale ninapokanyaga mafuta kwa nguvu mathalani ninapotaka kuongeza speed kuanzia 80kph na kuendelea,inakata mafuta tatizo linaweza kua nini
Mkuu hy kweli ni miss ila hy inavyoonekana brain na electronic plate unatakiwa ubadilishe.uko wapi mkuu au nicheki kwa 0657623266Nina toyota brevis, vvti engine hivi karibuni,nikiwa nakanyaga mafuta niongeze speed ikakata mafuta na kuzimika ghafla nikaipaki pembeni, nikaiwasha ikawaka, ikatembea vzr tatizo unakuja pale ninapokanyaga mafuta kwa nguvu mathalani ninapotaka kuongeza speed kuanzia 80kph na kuendelea,inakata mafuta tatizo linaweza kua nini
Pia mkuu chek filter uzisafishe lakini pia ucheck na Fuel pump.Mkuu hy kweli ni miss ila hy inavyoonekana brain na electronic plate unatakiwa ubadilishe.uko wapi mkuu au nicheki kwa 0657623266
Hahah huyo uliyemjibu yeye ni fundi magari ameweka no. Yake akiomba tenda ya kutengeneza hiyo gari mkuu.Pia mkuu chek filter uzisafishe lakini pia ucheck na Fuel pump.