Vipi Bro Santana
Fault Code uliyoipata halo, "Cam shaft Position Sensor" yahusiana na timing ya gari. ECU inasoma utofauti kati ya signal toka kw Cam-shaft sensor na Crank-shaft sensor at TDC cylinder No. 1.
Hii ni kwamba valve timing ya hiyo engine haiko on point. This will affect your idling au/na kutomaliza acceleration hasaa kw gari ya VVTi, kusababisha poor performance, poor economy na kuharakisha kuchoka kw engine. Sababu nyingine inayoweza leta hiyo Fault Code, ni tatizo kwenye mfumo we VVTi. Yaweza kua Actuator mbovu.
Jaribu uangaliliwe hiyo timing then proceed from there.
Hope I was of assistance.