Msaada wa kiuno kubana na ganzi miguuni

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
941
Reaction score
2,062
Habari wana jf
Mimi nina tatizo complicated kidogo but hope nitapata ushauri kwenu wadau
tatizo langu lilianza tangu 2014 ambapo nilianza kusumbuliwa na mgongo (yaani nilikuw naskia maumivu makali) tatizo hili lilinisumbua kwa wiki kutoka hapo mgongo ukaacha kuuma na kiuno kuanza kuuma na kuwa kizito.

Pia miguu yote kufa ganzi na mkojo kutoka kila saa (like after every 10min) nimeangaika different hospitals but hakuna msaada pia nilishauriwa kufanya MRI nayo nimefanya but ugonjwa hauonekani hapa nilipo nipo njia panda sijui nini cha kufanya

Hivyo wadau naombeni ushauri na kama kuna doctor yoyote mwenye ufahamu na tatizo hili naomba anisaidia kwasababu nimeshindwa kuendelea na masomo yangu kutokana na tatizo hili


asanteni na karibuni kwa ushauri
 

Madaktati Tunaomba msaada wenu jamani
 
Nina tatizo km lako mkuu na bado kupata tiba,Isipokuwa nimeambiwa huwenda ikawa ni athari ya kisukari kilicho jificha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…