Mkuu wewe ni Graduate wa IT halafu unataka kula Kona? angalia muda uliopoteza, mimi nakusahuri fanyia kazi fani yako, na kwa Biashara za service mara nyingi unaweza anza hata na mtaji mdogo sana au bila mtaji,
FAIDA
- Tatizo kubwa linatusimbua tunaingia kwenye Biashara tukitanguliza Faida Mbele, Mkuu hata Matajiri wa Dunina hawakutarajia wange kuwa hapo walipo sasa, Ila Utajiri umekuja kuwa ni Matokeo ya Jamii kukubali kazi yao
-HUWEZI ANZISHA BIASHARA NA KUTOA PRODUCT/SERVICE YA HOVYO halafu uwaze kuwa tajiri utakuwa ni Ujinga wa Hali ya juu,
FAIDA/UTAJIRI- haya ni matokeo ya wewe kutoa sevise iliyo enda shule,