Msaada wa kodi za tra kwa mafundi wote

zilog

Member
Joined
Sep 1, 2014
Posts
53
Reaction score
6
nawasalim ndugu wana jf,
Naomba kujuwa sheria ya mapato juu ya mwenye kipato kisichozid 10000 elfu kumi kwa siku kwa mafundi kushona nguo,mafundi tv.mafund pikipiki.mafundi magari,namafundi wa vitu vingine

Kwa sheria iliyopo sasa ya biashara hawa watu wanapaswa kulipa kiasi gani tra?

Maana huku mitaani tra wanawasumbuwa sana hawa mafundi waliojiajili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…