Erickmchoraji
New Member
- Jun 19, 2015
- 2
- 3
Aende akasome bachelor of nursing.Habari ndugu zangu !
Mdogo wetu wa kike amepata ufaulu huu hapa chini na tungependa kupata ushauri kwa next step.
GS - S
Physics - D
Chemistry- C
Bio - C
Bam - C
Asante
- Anapenda mambo ya afya sana, sasa je ufaulu utamruhusu ?
- Chuo gani bora kwa kozi hizo hapa Tanzania ?
- Gharama / mkopo nini kifanyike ?
View attachment 3624230
Kwa nini aende diploma wakati ufaulu wake ni mzuri?Aende diploma
ChaiHongera kwa ufaulu wake,
Linapokuja suala la kozi za afya hasa vyuo vya serikali, huo ufaulu ni mdogo kwa ngazi ya degree.
Kama anataka sana kwenda course za afya, aanzie ngazi ya diploma.
ufaulu huo ni mdogo sana kwa afya kumbuka ufaulu wa jumla ni 99.9% so kupata degreee afya ni issueKwa nini aende diploma wakati ufaulu wake ni mzuri?
Chaiufaulu huo ni mdogo sana kwa afya kumbuka ufaulu wa jumla ni 99.9% so kupata degreee afya ni issue
Kuna muda unaona ni bora kuishia form 4 na kwenda chuo directly. Binti yako sasa hivi angekuwa na ki diploma chake cha kuombea kazi huku akiitafuta degreeMwaka jana binti yangu alikuwa na BCC ya PCB na alikosa chuo.
Kozi za afya ni mtihani sana kupata
Watu hawajui humu wasikudanganye afya anasoma vizuri tu sema competition atafute private universityKwa nini aende diploma wakati ufaulu wake ni mzuri?