Msaada Wa kozi ya Occupational Health and Safety

AgentX

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2015
Posts
1,651
Reaction score
1,697
Habari
Moja kwa moja niende kwenye mada. Naomba kujua Kuna chuo gani hapa Tanzania kinachotoa diploma /degree katika kozi ya Occupational Health and Safety.
Nimeona OSHA wanatoa kozi mbalimbali za hili swala Ila nadhani zile zitakuwa ni short course.


Na vipi kuhusu zile wanatoa OSHA je zinaweza kukubalika ktk soko la ajira.


Shukrani.
 
Wanaojua watakuja kukujibu. Ni swali zuri bila Shaka tutafaidika wengi likijibiwa!
 
Njoeni mnijibu huku
 
Njoeni mtoe majibu. Au humu Hakuna HSE officer's na HSE Technicians?
 
Pole kwa kuchelewa kuona, Diploma ya OSHA inatolewa na chuo kimoja tu Tanzania kipo bunju B. Link ya website ya chuo
Institute of Environment, Climate and Development Sustainability
www.ieds.or.tz
Pole kwa kuchelewa kuona, Diploma ya OSHA inatolewa na chuo kimoja tu Tanzania kipo bunju B. Link ya website ya chuo
Institute of Environment, Climate and Development Sustainability
www.ieds.or.tz
 
Kozi hii halmashauri unaajiriwa kama na ,idara ya mazingira au ya idara ya Afya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…