CompaQ
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 281
- 134
Habari,
wana jf
nilikuwa naomba msaada wa mawazo kuhusu kozi hizi hapa
nataka ku APPLY kwa mujibu wa soko la AJIRA je nijaze kozi ipi ambayo itaendana na hali halisi
1.Diploma in Mineral Exploration in Mining Geology
2.Diploma in Mining Engineering
3.Diploma in Petroleum Technology
4.Diploma in Pharmacy
KOZI HIZI ZINATOLEWA NA UDOM
Nitashukuru kwa Mawazo yenu.