kwa ulahisi wa kupata ajira chukua diploma ya pharmacy.
hizo kozi zingine nazo ni nzuri sana,lakini kama tunaangali uwezekano wa kupata ajira,kwa pharmacy inakuwa rahisi zaidi.
nb pharmacy unaweza kujiajili kwa urahisi zaidi,hizo kozi zaidi ni ngumu sana
#moes unaposema "hizo kozi zaidi ni ngumu sana" unamaanisha nini???
,unaposomea kitu unachopenda inakuwa kitu bora zaidi.namaanisha ni ngumu kujiajili wewe mwenyewe kwa mining ukiringanisha na pharmacy.
kumbuka kwenye mada mleta mada amepoint wazi kabisa suala la urahisi wa kupata ajila,kwangu nasema pharmacy ni rahisi kuajiliwa fulsa za mzawa kuajiliwa kwa pharmacy ni kubwa sana kuliganisha na mining.
pia mining industry nyingi/gas/fuel,zimechukuliwa na wageni ambao waajiliwa wengi wanawatoa nje ya nchi,
kama kungekuwa na sheria nzuri za kulinda/kutetea wazawa wapate ajira za kutosha kwenye mining/gas ingekuwa faraja sana.
ata wazawa wanaobahatika kuajiliwa uko(mining) mishahara yao ni midogo kulinganisha na waajiliwa toka nje ya nchi ata kama wote wana elimu inayolingana+experience.
lakini usipuuzie kitu rohoo yako inapenda kusomea
moes hapo umesomeka lakini tukiangalia upande wa ajira mimi nahisi petroleum iko poa zaidi coz ni kitu kipya nchini,it means opportunities ni nyingi na specialist ni wachache mno..japo kujiajiri katika hii fani ni ngumu kidogo lakini ajira zake zna mkwanja wa kutosha coz ni field ambayo iko very unique and delicate..namaanisha ni ngumu kujiajili wewe mwenyewe kwa mining ukiringanisha na pharmacy.
kumbuka kwenye mada yako umepoint wazi kabisa suala la urahisi wa kupata ajila,kwangu nasema pharmacy ni rahisi kuajiliwa fulsa za mzawa kuajiliwa kwa pharmacy ni kubwa sana kuliganisha na mining.
pia mining industry nyingi/gas/fuel,zimechukuliwa na wageni ambao waajiliwa wengi wanawatoa nje ya nchi,
kama kungekuwa na sheria nzuri za kulinda/kutetea wazawa wapate ajira za kutosha kwenye mining/gas ingekuwa faraja sana.
ata wazawa wanaobahatika kuajiliwa uko(mining) mishahara yao ni midogo kulinganisha na waajiliwa toka nje ya nchi ata kama wote wana elimu inayolingana+experience.
lakini usipuuzie kitu rohoo yako inapenda kusomea
moes hapo umesomeka lakini tukiangalia upande wa ajira mimi nahisi petroleum iko poa zaidi coz ni kitu kipya nchini,it means opportunities ni nyingi na specialist ni wachache mno..japo kujiajiri katika hii fani ni ngumu kidogo lakini ajira zake zna mkwanja wa kutosha coz ni field ambayo iko very unique and delicate..