Mkuu Tongue blister, nashukuru kwa ushauri. Ila Mkuu kwangu ni ngumu kidogo, niko kijijini yaani kupata habari za mjini naitegemea sana JF. Kwa vitu kama Apple I ni ndoto. Maduka yetu nadhani unayajua, hayana vitu vya kisasa. Labda niagize jamaa walioko mjini. Inauzwa bei gani?