Kizumari Technologies
Senior Member
- Sep 22, 2026
- 101
- 258
Habari wadau,
Nimejaribu kuunganisha CV yangu na vyeti vyangu kuwa PDF moja ili nitume maombi ya kazi. Nimetumia simu tu.
Nimehangaika na tools nyingi online zinanipa watermark au zinanataka nilipie.
Kuna mdau alishawahi kukutana na hii changamoto? Mnauunganishaje?
Nimechoka kulipa 10$ kwa kitu kidogo hivi.
Ahsanteni sana Wana forums nimepata suluhisho maana Kuna Kaka mmoja kani-DM akanishow gridpdf.com , imenifanyia kazi bila watermark, asanteAu fanya kishamba kwa kuscan hiyo cv na vyeti kama document moja ya pdf.
Ahsanteni sana Wana forums nimepata suluhisho maana Kuna Kaka mmoja kani-DM akanishow [GridPDF - 28 Best Free PDF Tools Online] , imenifanyia kazi bila watermark, asanteIngia hapo πππ
Merge PDF files online. Free service to merge PDF
Select multiple PDF files and merge them in seconds. Merge & combine PDF files online, easily and free.www.ilovepdf.com
Ahsanteni sana Wana forums nimepata suluhisho maana Kuna Kaka mmoja kani-DM akanishow [GridPDF - 28 Best Free PDF Tools Online] , imenifanyia kazi bila watermark, asanteTumia I love PDF