Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 51
Habari wakuu wangu poleni na majukumu
Naomba msaada wa kuremove software kwani nimejaribu ku uninstall imenigomea sasa na mimi natumia LG laptop
Nasubiri wakuu wangu
Mkuu Idimi,ya weKwa kujazia majibu nzangu hapo juu, unaweza kuondoa hiyo program inayogoma kwa kutumia programu nyingine. Mie mwenyewe nilijaribu kuondoa Nero 7 kwenye windows vista (haiendani na windows vista) na ilikuwa inagoma, nikafuata hatua alizopendekeza Kang hapo juu ikagoma vilevile. Niliweka programme ya REVO UNINSTALLER ambayo hutumika kuondolea programu sumbufu, ikaondoa hiyo Nero moja kwa moja. Programu hiyo ni bure, just download and install na ukishamaliza inaiondoa! Kuichukua hio programu, gonga katika bold hapo juu.
Kuipata hiyo Revo Un-installer Bonyeza hapa http://www.revouninstaller.com/revo_uninstaller_free_download.html Lakini Mkuu Original Paster hujatuambia ni Software gani ambayo umejaribu ku Un-install imekataa? wewe ulichohitaji msaada wa kuiondowa lakini hujasema jina lake hiyo Software?Mkuu Idimi,
Link hiyo inakupeleka jamii forum tu haikupeleki kwenye link ya ku download.
Mkuu Idimi,
Link hiyo inakupeleka jamii forum tu haikupeleki kwenye link ya ku download.
Wakuu wangu Program ambazo hazitaki kuondoka ni>
1.Nero new version inagoma,
2.PC optimizer Pro. up pia inagoma na
3.Format factory