Msaada wa ku update simu

Msaada wa ku update simu

Joined
Jun 25, 2021
Posts
60
Reaction score
32
Ndugu ,naomba mtu yeyote mwenye uelewa wa jinsi ya ku update simu ya android ,simu yangu ni Samsung s 21 ultra inatumia android version ya 13 sasa nataka niipeleke kwenye 14,maarifa yenu yanahitajika
 
Ku update simu una update kawaida tu, setting then chini kwenye about utaona software update.

Kama simu ni refurb za Nje haita update, kuna mawili, moja kama imechezewa haita update kabisa, mpaka ubadili rom ama kudownload update manual ila ni risk kama hujui unalofanya.

Pili kama haijachezewa ukiweka vpn ya nchi husika ilipotoka, inaweza pokea software update.
 
Ndugu ,naomba mtu yeyote mwenye uelewa wa jinsi ya ku update simu ya android ,simu yangu ni Samsung s 21 ultra inatumia android version ya 13 sasa nataka niipeleke kwenye 14,maarifa yenu yanahitajika
Ushauri tumia hivyo hivyo mtandao wa kibongo unaweza zimisha simu yako maana mabando hayaeleweki
 
Back
Top Bottom